Mwana Jangwani 1.6.4 [free]

기술

Je wewe ni shabiki kindakindaki wa Yanga aka wa Kimataifa? Kama ni hivyo karibu sana. Ndani ya Mwana Jangwani utaweza kusoma Makala na kupata taarifa mbalimbali kuhusu
klabu yako unayoipenda sana. Utaweza kupata ratiba za michezo , matokeo, mijadala na matukio mbalimbali yanayoihusu Yanga ndani na nje ya uwanja. Mwana Jangwani ni yako
wewe shabiki namba moja wa Yanga.

이전 버전

Free Download QR 코드에 의해 다운로드
  • 앱 이름: Mwana Jangwani
  • 종류: 건강/운동
  • 앱코드: com.msoft.yangafans
  • 버전: 1.6.4
  • 요구 사항: 4.1이상
  • 파일 크기 : 5.06 MB
  • 업데이트: 2019-10-09