Global App 5.2.15 [free]

기술

GLOBAL PUBLISHERS, Kupitia App yake mpya ya GLOBAL APP, imekurahisishia upataji na usomaji wa Habari za Kila Siku kuhusu Mastaa wa Bongo, Watu Maarufu,
Viongozi, zikiwemo Habari za Magazeti ya Tanzania za kila siku asubuhi, REAKING NEWS mara tu zinapotokea kwa kupokea Notification kwenye simu yako ya kiganjani. Ndani ya App
hii kuna Global TV Online ikikuletea video zote kali za kila siku kutoka Ikulu, Mastaa wa Bongo, Wanasiasa Wote na Matukio yote Makubwa.
AIDHA, utaweza kusoma MAGAZETI YA UDAKU pamoja na Hadithi za Eric Shigongo kwa Mfumo wa Audio na Text. Pia Video Za Muziki Mpya wa Bongo Fleva, Habari zote za Michezo na
Makala za Mapenzi na Afya unazipata ndani ya GLOBAL APP. Utakuwa ukipata Notification mara tu Taarifa ya Habari yaTBC1 inapoanza saa moja asubuhi, saa 7:00 mchana, saa 2:00
usiku na Global Habari inapoanza kila siku jioni.
Mastaa wa Bongo: Diamond Platnumz, Ali Kiba, Wema Sepetu, Zari The Bosslady, Aunt Ezekiel, Hamisa Mobeto, Lulu MIchael, Tunda, Giggy Money, Malaika,
DOWNLOAD GLOBAL APP SASA ILI UWE WA KWANZA KUHABARIKA NA KUBURUDIKA!

이전 버전

Free Download QR 코드에 의해 다운로드
  • 앱 이름: Global App
  • 종류: 뉴스 및 잡지
  • 앱코드: com.globalpublishers.mainapp
  • 버전: 5.2.15
  • 요구 사항: 6.0이상
  • 파일 크기 : 12.44 MB
  • 업데이트: 2022-09-26